
Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania MhReginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa
Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)

Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili
ambao ni mapacha,Naye Jack alipoulizwa naMheshimiwa huyo Will you “Marry Me” naye
akajibu “I Do”
Chapisha Maoni