
Kahe ,jimbo la Vunjo ambako amefanya mikutano katika vijiji mbalimbali ya kuwanadi wagombea wa nafasi ya Uenyekiti.

jimbo la Vunjo,Amfrosia Komba (41),mtoto wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi kapt,John Komba(CCM) akijinadi kwa wapiga kura katika kijiji hicho.Amfrosia maarufu kama Zawadi anagombea nafasi hiyo kwa tiketi yachama cha NCCR-Mageuzi.

Chapisha Maoni