
Mwigulu Nchemba akiwasili Viwanja vya Mabatiniakiwa amongozana na Mwenyekiti wa Geita Ndugu Joseph Msukuma.

Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionekana kukasilika na Kitendo cha Machinga na Mamantile kunyanyaswa Jijini Mwanza,Hivi sasa ameomba Halmashauri ya jiji la Mwanza iangalie upya swala la Kufukuza Machinga kwasababu hakuna tija
kuacha Matajiri wakwepe kodi halafu tukimbizane na Machinga.

Awali Mh:mwigulu Nchemba alifanya mkutano Uwanja wa Bwaloni Mwanza kabla ya Kueleka Mbatini,Hapa akizungumza na Wakazi wa Bwaloni
Mwanza kuhamasisha Uchaguzi wa serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho kutwa.
Chapisha Maoni