0
 Mh:Mwigulu Nchemba akichambua kuhusu swala la Uadilifu wa Viongozi na Watumishi wa serikali,Kuna
watumishi wa serikali ambao hawana Vyama au sio wanaCCM lakini Wanaiba Serikalini na dhambi hiyo inakwenda CCM.Hivyo ni muda muafaka wa
Kutenganisha Wezi,mafisadi na CCM.

 Comrade Mwigulu Nchemba akinadi na
kuwaombea kura wagombea wa ngazi zote wa CCM kata ya itilima mkoani Simiyu.

 Mwigulu Nchemba akiwaeleza wanaitilima Mkoani simiyu hii leo kuwa CCM ndio chama chenye Ilani
inayotekelezwa,Hivyo wananchi wachague viongozi wa chama cha mapinduzi wanaojua Ilani
inasemaje juu ya Wanaitilima.

 Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi wa Itilima mapema Mchana wa leo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga Kura hapo kesho
kutwa kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Chapisha Maoni

 
Top