0

Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel, mabar na kumbi za starehe, nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao,
tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama Machangudoa
Nini hasa tatizo ?? Toa maoni na mtazamo wako juu ya suala hili labda tunaweza kupata
wazo jipya kuhusu hawa watu…

Chapisha Maoni

 
Top