Ronaldo ambazo zinadai kwamba
Ronaldo amepata mpasuko wa mfupa
kwenye eneo la goti na inawezekana
kwa kiasi kikubwa akakaa nje ya uwanja
kwa takribani miezi minne mpaka
mitano.
Kwa ripoti hizi ni kwamba mchezaji
Ronaldo ataukosa mchezo wa UEFA
Super Cup hapo Agosti 9. Pia atakosa
michezo lukuki ya La Liga na michezo
ya Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi.
Ronaldo alifunga goli muhimu lililoipa
ubingwa Real Madrid kwenye
changamoto ya mikwaju ya penati
kwenye fainali ya Uefa dhidi ya Atletico
mwezi Mei. Kwenye michuano hiyo
aliibuka mfungaji bora akiwa na magoli
16.
Chapisha Maoni