Na Mwandishi Wetu.
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wamepata nafasi ya kutembelea banda la Dege Eco Village na kufahamu juu ya mradi huo wa makazi bora unaofanyika Kigamboni eneo la Ras Dege.
Akizugumza na wananchi waliotembelea
banda hilo Afisa Masoko wa Hifadhi
Builders Ltd inayosimamia mradi huo Bw.
Adam Jusab alisema kuwa mradi huo ni
kwa ajili ya wananchi wanaohitaji makazi
bora na mpaka sasa nyumba elfu mbili
zimekamilika kati ya nyumba elfu saba.
Mradi huo utajumlisha aina mbili ya
nyumba yaani appartments na villas.
Pia kutakuwa na huduma za shule, kituo
cha polisi, maeneo ya burudani, kituo cha zimamoto na huduma za usafiri wa mabasi kwa uchache.
Amesema kwamba mradi huo unatarajiwa kukamilika mwaka 2018.
Pia aliendelea kusisitiza kwamba kama
sehemu ya mazimio ya mwaka 2015
waTanzania wanashuariwa kununua
nyumba zilizo kwenye makazi bora kama mradi huu wa Dege Eco Village.
Kwa kumalizia aliwataka wale wote
watakayohitaji kuwasiliana nao kufika
kwenye ofisi zao zilizo mtaa wa Azikiwe
Posta pembeni ya Benki ya NMB au
kutembelea kwenye mtandao wa Dege Eco Village,
www.degeecovillage.com
au ukurasa wa facebook
www.facebook.com/degeecovillage
Muuzaji kutoka Hifadhi Builders Ltd
akiongea na mteja kuhusu mradi wa Dege Eco Village jijini Dar es salaam hivi
karibuni
Adam Jusab, Afisa Masoko akihojiwa na
waandishi wa habari hivi karibuni na kulia kwake Bwana Nyenshile, Afisa Mauzo wa Hifadhi Builders
Muuzaji kutoka hifadhi Builders Ltd
akiongea na mteja na kufafanua juu ya
mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo
Kigamboni.

Chapisha Maoni