Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi
Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa pili
kulia) akipata maelezo ya Mradi wa
Umwagiliaji wa Mbaka.Utakapo kamilika
Mradi utakuwa na uwezo wa kumwagilia
hekta 600 kwenye vijiji vya
Mbambo,Kambasegele,Katela,na Kapula- Mpunguti.Wananchi 1300 watanufaika na Skimu hii.wengine pichani kutoka kulia ni Gideon Mapunda,Afisa Kilimo,Ndugu Said
Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa pili
kulia) akipata maelezo ya Mradi wa
Umwagiliaji wa Mbaka.Utakapo kamilika
Mradi utakuwa na uwezo wa kumwagilia
hekta 600 kwenye vijiji vya
Mbambo,Kambasegele,Katela,na Kapula- Mpunguti.Wananchi 1300 watanufaika na Skimu hii.wengine pichani kutoka kulia ni Gideon Mapunda,Afisa Kilimo,Ndugu Said
Mzeru,Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Busokelo na Mhe. Alfred Mwakasapi,Diwani wa Kata ya Kambasegela;wakiwa kwenye
banio la chanzo cha mradi kwenye Mto
Mambwe.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi
Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa pili
kushoto) akipata maelezo ya utekeelezaji wa miradi ya umwagiliaji Busokelo kutoka kwa Afisa Umwagiliaji wa Halmashauri,Ssid Majula,wa nne kushoto.
Waziri Mwandosya akagua mfereji mkuu
wa skimu ya umwahgiliaji ya Mbaka.
Chapisha Maoni