0
Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu
Watanzania Hata Yesu walimkataa kwao, walimpiga mawe na kusema kuwa hawawezi kufundishwa na mtoto wa fundi selemara na mwisho wakamtundika hadi kufa, lakini baadae
alifufuka na mwishowe akawaokoa. 

Sasa ndio tunachokifanya watanzania kwa Diamond, yaani hatumkubali lakini anatuletea heshima kwa taifa letu, Tubadilikeni na tusiwe kama
wayahudi.

Chapisha Maoni

 
Top