0
Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa
imeiandikia barua Wizara ya Habari Tamaduni na Michezo kuomba kikao cha pamoja kati yao na BASATA ili kutafuta usuluhishi wa hatua ya Baraza
hilo kuyafungia mashindano hayo kwa miaka miwili.

Akiongea na eNewz, afisa Habari wa kamati ya Miss Tanzania, Bwana Hidan Rico amesema kuwa wameiomba Wizara kama Msimamizi Mkuu wa
BASATA, vilevile wakiwa wameandika Barua nyingine kwa BASATA kujibu tuhuma dhidi yao katika kujaribu kunusuru hatma ya mashindano
hayo ya Urembo.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top