
Kikosi cha Louis van Gaal kitasafiri hadi Uwanja wa Abbey mwishoni mwa January wakati Mholanzi huyo akipambana na kukata kiu ya
miaka 11 ya United kutottwaa Kombe la FA.
Mashetani hao Wekundu walifuzu wamefuzu hatua hiyo baada ya kuifunga 2-0 timu ya Daraja la Kwanza, Yeovil Town katika Raundi ya Tatu.

RATIBA RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA
Southampton /Ipswich vs Crystal Palace
Cambridge vs Manchester United
Blackburn vs Swansea
Chelsea vs Millwall/Bradford
Derby vs Scunthorpe/Chesterfield
Preston vs Sheffield United
Birmingham City vs West Brom
Aston Villa vs Bournemouth
Cardiff vs Reading
Liverpool vs Bolton
Burnley/Tottenham vs Leicester
Brighton vs Arsenal
Rochdale vs Stoke
Sunderland vs Fulham/Wolves
Doncaster/Bristol City vs Everton/West Ham
Manchester City vs Middlesbrough
Mechi zitachezwa wikiendi ya Januari 24 na 25 mwaka 2015
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.