Kiongozi wa waasi wa Uganda LRA,Joseph KonyiDominic Ongwen, mmoja kati ya makamanda aliyekuwa na cheo kikubwa katika jeshi la waasi wa Uganda Lord Resistance Army (LRA) ambaye
pia alikuwa mtu wa karibu sana na Joseph Kony, inataarifiwa amejisalimisha kwa kikosi cha jeshi la
Marekani kilichoko Africa ya kati ,na hii ni kwa muujibu wa msemaji wa kikosi cha Marekani nchini humo.
Dominic alitekwa nyara na LRA alipokuwa na umri wa miaka 10, na alikuwa akipanda vyeo katika jeshi hilo la waasi na amekuwa akisakwa na
mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makosa kadhaa yakiwemo ya mauaji ,uporaji,pamoja na utumikishaji.
Africa Newss
Chapisha Maoni