
Iringa.
“Shetani amefeli, Mungu ni mwema. Tuko salama mimi na wote niliokuwa nao kwenye gari,” alisema mbunge huyo anayejulikana zaidi kwa jina la
Sugu, katika ujumbe alioutuma kwenye ukurasa wake wa facebook .

huyo alipokuwa akitoka Mbeya kwenda Mikumi, Morogoro kushiriki mkutano wa hadhara.
Alisema gari aina ya Toyota Landcruiser lilikuwa limebeba watu wanne na kwamba hakuna mtu aliyejeruhiwa ingawa mbunge aliyekuwa
akiendesha gari alipata michubuko mikononi.
“Wakati tunateremka Mlima Kitonga, breki zilifeli gari likagonga gema na kupinduka matairi juu,” alisema Anangisye.
Mwaka 2013 Sugu alipata ajali na gari hilo hilo alipogongana na basi la Kampuni ya Best wilayani
Hanang’ mkoani Manyara wakati akienda Arusha.

Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.