kunautaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao.
Nchi zote duniani huitaji visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.
Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa
wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.
Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.
Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia,
Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe zingine hizi hapaAntigua & Barbuda
Albania *
Armenia
Azerbaijan
British Virgin Islands
Barbados
Bangaladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Islands
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibouti
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt **
Fiji
Grenada
Gambia
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong (3months Visa upon arrival)
Jamaica
Jordan *
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon *
Lesotho
Libya *
Liberia
MacauMalaysia (1 month visa upon arrival)
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Montserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia (1 month visa upon arrival)
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar *
Rwanda
Samoa
Suriname *
St.Kitts & Nevis
St.Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore (1 month visa upon arrival)
Seychelles
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan *
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
In the case of Egypt, travelling without visa applies
only if touring the Sharm el sheikh resorts.
Related Posts
Tumuombee duwa njema mzee wetu Kig Majuto
Msanii maarufu wa maigizo Amr Athuman ‘King Majuto’ amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimb[...]
Aug 03, 2018Korea kaskazini kuchukua hatua
Korea kaskazini imesema itachukua hatua dhidi ya kutumwa kwa mfumo wa hali ya juu kuzuia [...]
Jul 11, 2016Shilingi bilioni 1.3 zakusanywa daraja la Nyerere
Jumla ya shilingi bilioni 1.3 zimekusanywa kutoka Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar [...]
Jul 11, 2016RAIS MAGUFULI AMPOKEA WAZIRI MKUU WA INDIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
1.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu wa India Na[...]
Jul 10, 2016Jeshi la Polisi Latoa ONYO Kali Kwa Vyama vya Siasa
ONYO limetolewa kwa vyama vya siasavinavyojaribu kusuguana na Jeshi la Polisikukumbuka kuwa hilo n[...]
Jul 10, 2016Haki sawa Wanawake walia Magufuli ‘kuwabania’ katika uteuzi
Mashirika yanayotetea haki za wanawake nausawa wa kijinsi nchini yamesema uteuzi wanafasi muhimu z[...]
Jul 10, 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.