Maandamano nchini Pakistan kuonyesha kero la waumini wa kiisilamu kuhusu Charlie Hebdo Polisi nchini Pakistan wamekabiliana na
waandamanaji, walioghadhabishwa na uamuzi wa jarida na Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha vibonzo vya mtu wanayedai ni Mtume Mohammad.
Baada ya maombi ya ijumaa, maafisa wa ulinzi walitumia magari yenye majai kuwamwagia maji waandamanaji katika juhudi za kuwatwanya.
Walikuwa wamekusanyika nje ya ubalozi wa Ufaransa mjini Karachi.
Baadhi ya waandamanaji inaarifiwa walikuwa wamebeba bunduki. Watu watatu walijeruhiwa katika maandamano yenyewe.
Mwandishi wa BBC mjini Islamabad amesema idadi ya waandamanaji hao, kwa mujibu wa idadi ya wasisilamu nchini Pakistan, ilikuwa ndogo.
Maandamano kama hayo yameitishwa katika nchi zingine zilizo na idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama vile Uturuki, Ufilipino,Kuwait, Mauritania na Sudan.
Related Posts
Tumuombee duwa njema mzee wetu Kig Majuto
Msanii maarufu wa maigizo Amr Athuman ‘King Majuto’ amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimb[...]
Aug 03, 2018Korea kaskazini kuchukua hatua
Korea kaskazini imesema itachukua hatua dhidi ya kutumwa kwa mfumo wa hali ya juu kuzuia [...]
Jul 11, 2016Shilingi bilioni 1.3 zakusanywa daraja la Nyerere
Jumla ya shilingi bilioni 1.3 zimekusanywa kutoka Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar [...]
Jul 11, 2016RAIS MAGUFULI AMPOKEA WAZIRI MKUU WA INDIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
1.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu wa India Na[...]
Jul 10, 2016Jeshi la Polisi Latoa ONYO Kali Kwa Vyama vya Siasa
ONYO limetolewa kwa vyama vya siasavinavyojaribu kusuguana na Jeshi la Polisikukumbuka kuwa hilo n[...]
Jul 10, 2016Haki sawa Wanawake walia Magufuli ‘kuwabania’ katika uteuzi
Mashirika yanayotetea haki za wanawake nausawa wa kijinsi nchini yamesema uteuzi wanafasi muhimu z[...]
Jul 10, 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.