kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa
ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka
Norway wamegundua uwepo wa takriban futi
bilioni 54 za hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi
adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.
Leo June 29 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia
account yake ya twitter amepost akizungumzia
ugunduzi huo huku akitoa wito kujipanga katika
eneo la mikataba.
"Tunamshukuru Mungu Tanzania tumegundua
gesi aina ya Helium(He),wito wangu kwa
wachumi,wanasheria na watanzania wote kwa
ujumla tujipange
"Ugunduzi huu utuelekeze kujipanga hasa ktk
eneo la mikataba yetu ili rasilimali hii adimu
isaidie kuujenga uchumi wetu"
Chapisha Maoni