0
Kiasi cha watu 32 wameripotiwa kupoteza
maisha hadi sasa na zaidi ya 60
kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi
lililotokea katika mlango wa kuingilia
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ataturk
jijini Istanbul usiku huu katika kile
kinachosadikiwa kuwa ni shambulio la
kikundi cha ISIS.
inasadikiwa washambulizi magaidi watatu
wa kujitoa muhanga wamesababisha
shambulio hilo baada ya kujilipua katika
sehemu mbili tofauti za uwanja huo.

Chapisha Maoni

 
Top