Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini Nigeria,
David Adeleke ‘Davido’ yupo njiani kuja na kolabo
na staa wa Muziki wa RnB wa Marekani, Trey
Songz.
Davido kwa sasa yupo Atlanta, Marekani kwa ajili
ya kolabo hiyo ambapo hivi karibuni alionekana
akijiachia na mkali huyo katika klabu moja ya
usiku na kesho yake alitupia kipande cha video
kupitia Snapchat yake na kuandika;
“Leo ndani ya studio na Prodyuza Shizzi.”
Related Posts
Licha ya kutoswa Karim Benzema alikipongeza kikosi cha Ufaransa kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali
Mchezaji straika aliyetemwa KarimBenzema alikipongeza kikosi chaUfaransa kwa kufanikiwa kutinga ha[...]
Jul 11, 2016Serena Williams na Venus Williams walitamba kwenye fainali ya Wimbledon
Ndugu wawili kutoka Marekani, SerenaWilliams na Venus Williams walitambakwenye fainali ya Wimbledo[...]
Jul 11, 2016Arsenal Yamwinda Straika wa Ufaransa
Klabu ya soka ya Arsenal huendawakamkosa straika wa UfaransaAlexandre Lacazette baada ya kugwayaku[...]
Jul 11, 2016Christian Tello Akataa Ofa Ya Liverpool
Habari za chinichini kwa mujibu wagazeti la Dello Sport Italia zinadai kuwawinga wa Barcelona aliy[...]
Jul 11, 2016Alichosema Mama Ronaldo
Jana usiku mchezo wa fainali ya Euro2016 ulichezwa na kushuhudia timu yataifa ya Ureno ikifanikiwa[...]
Jul 11, 2016Gareth Bale Amsifia Ronaldo
Nyota wa timu ya taifa ya Wales, GarethBale amempa sifa staa mwenzake waReal Madrid, Cristiano Ron[...]
Jul 11, 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.