Baada ya siku chache zilizopita msanii Young Dee
kukiri kutumia madawa kwa mwaka na nusu na
kwamba ameacha huku akiahidi maisha mapya,
msanii mkongwe wa bongo Fleva, Juma Nature
ametoa maoni yake pia kuhusiana na matumizi ya
madawa hayo.
Kuna mambo ambayo nikijiuliza jibu sipati hivi ni
kweli kuna wasanii wanakula mambo hivi, mbona
sisi uhuni tumepitia lakini lakaya hii ni mpya,”
aliandika kwenye Instagram.
“Punguzeni kuiga wadogo zangu jamii
inawategemea…maana hata tukisema tuwaombeee
kazi bure mtarudia tu!
"Kwani huyo anayewauzia anawashikia bastora ndg
zng? Mi sijapendezwa na michongo famfa
kujiendekeza banaaaaa,” aliongeza.
Matumizi ya madawa ya kulevya kwa wasanii
yamekuwa hadithi isiyoisha huku Chidi Benz na
Ray C wakiwa wahanga waliotawala zaidi headlines
kwa sasa.
Related Posts
Licha ya kutoswa Karim Benzema alikipongeza kikosi cha Ufaransa kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali
Mchezaji straika aliyetemwa KarimBenzema alikipongeza kikosi chaUfaransa kwa kufanikiwa kutinga ha[...]
Jul 11, 2016Serena Williams na Venus Williams walitamba kwenye fainali ya Wimbledon
Ndugu wawili kutoka Marekani, SerenaWilliams na Venus Williams walitambakwenye fainali ya Wimbledo[...]
Jul 11, 2016Arsenal Yamwinda Straika wa Ufaransa
Klabu ya soka ya Arsenal huendawakamkosa straika wa UfaransaAlexandre Lacazette baada ya kugwayaku[...]
Jul 11, 2016Christian Tello Akataa Ofa Ya Liverpool
Habari za chinichini kwa mujibu wagazeti la Dello Sport Italia zinadai kuwawinga wa Barcelona aliy[...]
Jul 11, 2016Alichosema Mama Ronaldo
Jana usiku mchezo wa fainali ya Euro2016 ulichezwa na kushuhudia timu yataifa ya Ureno ikifanikiwa[...]
Jul 11, 2016Gareth Bale Amsifia Ronaldo
Nyota wa timu ya taifa ya Wales, GarethBale amempa sifa staa mwenzake waReal Madrid, Cristiano Ron[...]
Jul 11, 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.