Kikumba ‘Dude’ anasema kuwa ili tasnia ya
filamu isonge mbele lazima wasanii na wadau
wote washikane na kuwa kitu kimoja ndio
maslahi ya kweli yataoneka na kusonga mbele
na kuijenga tasnia ya filamu.
Kulwa Kikumba ‘Dude’
“Tukiwa na umoja tunaweza kuwa na nguvu
katika jamii, angalia mfano juzi hivi karibuni
uliibuka mtafaruku Bodi ya Filamu ya India na
watengenezaji filamu wa nchi hiyo wakipinga
kuzuiwa kwa filamu ya Udta Punjab,”Dude
Filamu ya Udta Punjab inaelezea athari za
madawa ya kulevya eneo la Punjab ambapo
Central Board of Film Certification iliamua zaidi
ya vipande 89 vya filamu hiyo vikatwe kutokana
na maoni ya viongozi wa Jiji la Punjab
kuonyesha jinsi vijana wakiathiriwa na Madawa
ya kulevya.
FC
NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS
ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE
ULIPO:
Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256
489.
KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA
KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU
POPOTE PALE:
Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256
489.
Chapisha Maoni