kumtangaza Gareth Southgate kuwa kocha wa
muda wa timu yake ya taifa katika mwanzo wa
kampeni za kuwania kufuzu kombe ka dunia.
Zoezi la kumsaka kocha mpya litaanza baada ya
michezo ya awali ya kufuzu kufanyika.
Mtendaji mkuu wa FA Martin Glenn,amesema kuwa
kupatikana kwa kocha mpya kunaweza kuchukua
miezi kadhaa,huku pia akimtaja meneja wa
Arsenal,Arsene Wenger ambaye anaingia katika
mwaka wa mwisho wa mkataba wake kama moja
ya chaguo lao.
Roy Hodgson alijiuzulu baada ya kukifundisha
kikosi cha England kwa miaka mitatu kufuatia
kichapo dhidi ya timu ndogo ya Iceland mjini Nice
siku ya Jumatatu.
Chapisha Maoni