wimbo Famous wa Kanye West.
Kwenye video hiyo Ray J aliyewahi kuwa
mpenzi wa Kim Kardashian, anaonekana akiwa
mtupu amelala kitandani na mastaa wengine.
Akiongea na Entertainment Tonight kwenye
tuzo za BET, Ray J alisema alishangaa kuwepo
kwenye video hiyo na hataki hata kuisikia.
“Don’t put me part of nothing that’s weird,
that don’t make sense,” alisema. “Can I grow
up?”
Ray J pia alisema kuwa mchumba wake,
Princess Love, amechukizwa mno na video
hiyo. “I’m engaged. My marriage is all
messed up ‘cause of craziness. I’m not part of
nothing crazy,” alisema Ray J.
“I walk down a good path. My fiancée
tripping. It’s all bad in my world, and that ain’t
cool.”
Kabla Kanye na Kim kuwa pamoja, Ray aliwahi
kuwa na uhusiano na Kim mkanda wao
maarufu wa ngono ulivuja mwaka 2007.
Kwenye video ya Famous, West amemweka
pia ex wake Amber Rose, pamoja na mastaa
wengine wakiwemo Taylor Swift, Rihanna,
Chris Brown.
Chapisha Maoni