- Young Africans 0-0 TP Mazembe
Mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Taifa. Mechi
imekuwa kali kweli kweli, huku TP Mazembe
wakicheza kwa mashambulizi ya kushtukiza,
Young Africans wakitawala mchezo huko kwa
kuwamiliki Mazembe na kukosa nafasi nyingi za
kufunga.
Chapisha Maoni