kushoto Dele Alli, Chris
Smalling na Wayne Rooney
wakiwa wanyonge baada ya
kufungwa bao la pili wakilala
2-1 mbele ya Iceland katika
mchezo wa hatua ya 16 Bora
Euro 2016 Uwanja wa Allianz
Riviera mjini Nice, Ufaransa
na kutolewa. England
ilitangulia kwa bao la penalti
la Nahodha Rooney dakika ya
nne baada ya raheem
Sterling kuangushwa kwenye
boksi na kipa Hannes
Halldorsson, kabla ya Ragnar
Sigurdsson kuisawazishia
Iceland dakika mbili baadaye
na Kolbeinn Sigthorsson
kufunga la pili dakika ya 18
na sasa watamenyana na
wenyeji Ufaransa katika Robo
Fainali, huku Three Lions
wakiendeleza rekodi yao ya
kutoshinda mechi ya mtoano
tangu Euro 2006
Chapisha Maoni