0
Beki wa kati wa
Juventus, Giorgio Chiellini
(katikati) akipongezwa na
wachezaji wenzake baada ya
kuifungia Italia bao la kwanza
dakika ya 33 katika ushindi
wa 2-0 dhidi ya mabingwa
watetezi, Hispania kwenye
mchezo wa hatua ya 16 Bora
Euro 2016 Uwanja wa Stade
de France mjini Paris,
Ufaransa. Bao la pili
lilifungwa na Graziano Pelle
dakika ya 90 na ushei na
sasa Italia itamenyana na
mabingwa wa dunia,
Ujerumani katika Robo Fainali

Chapisha Maoni

 
Top