0
Katika kuboresha huduma bora kwa jamii
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeandaa
banda maalum kwa ajili ya kusikiliza kero
mbalimbali, kutoa elimu juu ya kazi zetu
sambamba na kupokea maoni toka kwa
wananchi ili kuboresha huduma za
zimamoto na maokozi katika jamii.
Maadhimisho haya yatafanyika kuanzia
tarehe 27 - 30/06/2016 katika viwanja vya
kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala jijini
Dar es salaam
katika utekelezaji wa maadhimisho ya Wiki
ya Utumishi wa Umma nchini kwa mwaka
2016.
“Wote Mnakaribishwa”
IMETOLEWA NA JESHI LA
ZIMAMOTO
NA UOKOAJI

Chapisha Maoni

 
Top