Mwigulu M.L Nchemba akizungumza na
aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles
Kitwanga (kushoto) pamoja na Watendaji
Wakuu wa Wizara hiyo, kwenye ofisi ya
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini
Dar es salaam leo, mara baada ya Wizara
Mwigulu kupokea taarifa ya makabidhiano.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.iri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akipokea
taarifa ya makabidhiano kutoka kwa
aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles
Kitwanga kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Chapisha Maoni