Mzambia Obrey Chirwa
(kulia) akimtoka beki Mtogo
wa timu hiyo Vincent Bossou
katika mazoezi yao ya leo
mchana Uwanja wa Taifa, Dar
es Salaam kujiandaa na
mchezo wa kesho wa Kundi
A Kombe la Shirikisho Afrika
dhidi ya TP Mazembe ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya
kongo (DRC)
Chapisha Maoni