kuchukua watu 60,000, lakini kesho utafungwa
wakati wa mchezo wa Yanga na TP Mazembe ya
DRC baada ya mashabiki 40,000 kuingia.
Hayo ni maagizo ya Kamisaa wa mchezo huo wa
Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika, ambao
mashabiki wataingia bure, Celestine Ntangungira
kutoka Rwanda.
EWE SHABIKI WA YANGA NA MZALENDO WA NCHI
YAKO WAHI MAPEMA KABLA YA WATAZAMAJI
40,000 KUTIMIA UWANJANI.
Chapisha Maoni