kutokuwa na kiingilio, maelfu ya mashabiki
wanamiminika mapema kwenye dimba la Taifa.
Hadi kufika saa nne asubuhi leo, misururu
mikubwa ya watu ilikuwa tayari kwenye mageti ya
uingia kwenye dimba la Taifa.
Mchezo wa Yanga na TP Mazembe utaanza saa
kumi alasiri kwenye dimba la Taifa.
Chapisha Maoni