Dar es salaam kwenda Zanzibar imezama
eneo la Chumbe, Unguja.
Taarifa zimedai kwamba Meli hiyo ilianza
kuzama saa 10 alfajiri baada ya kuingiza
maji ndani na kukosekana kwa vifaa
kama motor ya kutolea maji hayo kufikia
saa 1 asubuhi hii Meli hiyo ilizama
kabisa ndani ya maji.
Meli hiyo ilikuwa imebeba Dengu gunia
450 pamoja na Mbao zaidi ya 1000 huku
wafanyakazi sita waliokuwa ndani ya
Meli hiyo wakiokolewa.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema
kuwa ni meli ya mizigo mitupu na
mabaharia mpaka sasa imeripotiwa
kwamba wote ni wazima.
Chapisha Maoni