0
HUKO Stadium de Toulouse Mjini Toulouse
Nchini France, Belgium wameingia Robo
Fainali ya EURO 2016, Mashindano ya Mataifa
ya Ulaya baada kuifunga Hungary 4-0 katika
Mechi ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16.
Hadi Mapumziko, Belgium waliongoza 1-0
kwa Bao la Dakika ya 10 la Toby Alderweireld
anachezea Tottenham ya England.
Kipindi cha Pili, Belgium walifunga Bao 3
nyingine katika Dakika za 78, 79 na 91
kupitia Michu Batshuayi, Eden Hazard na
Yannick Carrasco.
Ijumaa Belgium watacheza Robo Fainali na
Wales.
Belgium and Wales will meet in Lille on
Friday.
Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya EURO 2016
itamalizika Jumatatu kwa Mechi 2 na ya
kwanza ni kati ya Italy na Mabingwa Watetezi
Spain itakayochezwa Stade de France, Paris
wakati ya mwisho ipo Mjini Nice kati ya
England na Iceland.
Washindi wa Raundi hii watatinga Robo
Fainali ambazo Mechi zake zitaanza Alhamisi
ijayo.
VIKOSI:
Germany (Mfumo 4-2-3-1): Neuer; Kimmich,
Hummels, Boateng, Hector; Khedira, Kroos;
Müller, Özil, Draxler; Gomez
Slovakia (Mfumo 4-3-3): Kozacik; Pekarik,
Skrtel, Durica, Gyomber; Hrosovsky, Skriniar,
Hamsik; Kucka, Duris, Weiss
REFA: Nicola Rizzoli (Italy)
EURO 2016
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
Jumamosi Juni 25
Switzerland 1 Poland 1 (Baada Dakika 120
1-1, Poland yasonga Penati 5-4)
Wales 1 Northern Ireland 0
Croatia 0 Portugal 0 [Baada Dakika 120,
Portugal yashinda 1-0]
Jumapili Juni 26
France 2 Republic of Ireland 1
Germany 3 Slovakia 0
Hungary 0 Belgium 4
Jumatatu Juni 27
Italy v Spain (1900, Stade de France, Paris)
England v Iceland (2200, Stade de Nice)
ROBO FAINALI
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2200, Stade Velodrome,
Marseille)
Poland v Portugal
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2200, Stade Pierre
Mauroy, Lille)
Wales v Belgium
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2200, Stade de Bordeaux)
Germany v Italy au Spain
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2200, Stade de France,
Paris)
France v England v Iceland
NUSU FAINALI
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo
Fainali ya 2 (2200, Stade de Lyon)
Poland au Portugal v Wales au Belgium
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo
Fainali ya 4 (2200, Stade Velodrome,
Marseille)
Germany/Italy au Spain v France/England au
Iceland
FAINALI
Jumapili Julai 10
(2200, Stade de France, Paris)

Chapisha Maoni

 
Top