juu kushangilia baada ya
kuifungia Ujerumani bao la
kwanza katika ushindi wa 3-0
dhidi ya Slovakia kwenye
mchezo wa hatua ya 16 Bora
ya Euro 2016 usiku leo
Uwanja wa Stade Pierre-
Mauroy mjini Villeneuve
d'Ascq, Ufaransa. Mabao
mengine ya Ujerumani
yamefungwa na Mario
Gomez na Julian Draxler
wakati Mesut ozil alikosa
penalti
Chapisha Maoni