Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni,
2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu
ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa
wilaya 139.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
amesema katika mabadiliko hayo Rais
Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya
ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa
wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa
Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela ambaye
uteuzi wake ulitenguliwa.
Rais Magufuli pia amemteua Dkt. Binilith
Satano Mahenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma.
Dkt. Binilith Satano Mahenge anajaza nafasi
iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa
wa Ruvuma Bw. Said Thabit Mwambungu
ambaye amehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu
Dar es salaam ambako atapangiwa majukumu
mengine.
Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt. Charles
F. Mlingwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Dkt. Charles F. Mlingwa anajaza nafasi
iliyoachwa wazi na Bw. Stanslaus Magesa
Mulongo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Wakuu wapya wa mikoa walioteuliwa
wataapishwa tarehe 29 Juni, 2016 saa tatu
kamili asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam na
mara baada ya kuapishwa watakula kiapo cha
maadili ya uongozi.
Wakati huo huo, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya
uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 139.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
amesema katika uteuzi huo Rais Magufuli
amezingatia mambo kadhaa ikiwa ni pamoja
na umri ambapo kwa wale ambao umri wao ni
zaidi ya miaka 60 ameamua wastaafu.
Mhe. Rais amewashukuru sana kwa utumishi
wao mzuri na amesema pale ambapo
itahitajika, serikali itaendelea kuwatumia katika
majukumu mengine.
Katika uteuzi huo, Wakuu wa Wilaya waliopo
sasa ambao wamebaki katika nafasi zao ni 39.
Pia Rais Magufuli amewateua Wakurugenzi
Watendaji wa halmashauri 22 kuwa Wakuu wa
Wilaya kutokana na utendaji wao mzuri.
Aidha, nafasi 78 za uteuzi wa Wakuu wa wilaya
zimejazwa na watanzania wengine ambao
wameteuliwa kwa mara ya kwanza wengi wao
wakiwa ni vijana, wenye elimu ya kutosha na
uzoefu katika maeneo mbalimbali.
Walioteuliwa kuwa wakuu wa wilaya ni kama
ifuatavyo (Orodha imepangwa kulingana na
mikoa)
ARUSHA
1. Arusha - Mrisho
Mashaka Gambo
2. Arumeru - Alexander
Pastory Mnyeti
3. Ngorongoro - Rashid Mfaume
Taka
4. Longido - Daniel Geofrey
Chongolo
5. Monduli - Idd Hassan
Kimanta
6. Karatu - Therezia
Jonathan Mahongo
DAR ES SALAAM
1. Kinondoni - Ally Hapi
2. Ilala - Sophia Mjema
3. Temeke - Felix Jackson
Lyaviva
4. Kigamboni - Hashim Shaibu
Mgandilwa
5. Ubungo - Hamphrey
Polepole
DODOMA
1. Chamwino - Vumilia Justine
Nyamoga
2. Dodoma - Christina
Solomon Mndeme
3. Chemba - Simon Ezekiel
Odunga
4. Kondoa - Sezeria
Veneranda Makutta
5. Bahi - Elizabeth
Simon
6. Mpwapwa - Jabir Mussa
Shekimweli
7. Kongwa - John Ernest
Palingo
GEITA
1. Bukombe - Josephat
Maganga
2. Mbogwe - Matha John
Mkupasi
3. Nyang'wale - Hamim
Buzohera Gwiyama
4. Geita - Herman C.
Kipufi
5. Chato - Shaaban
Athuman Ntarambe
IRINGA
1. Mufindi - Jamhuri David
William
2. Kilolo - Asia Juma
Abdallah
3. Iringa - Richard
Kasesela
KAGERA
1. Biharamulo - Saada Abraham
Mallunde
2. Karagwe - Geofrey
Muheluka Ayoub
3. Muleba - Richard Henry
Ruyango
4. Kyerwa - Col. Shaban
Ilangu Lissu
5. Bukoba - Deodatus Lucas
Kinawilo
6. Ngara - Lt. Col. Michael
M. Mtenjele
7. Missenyi - Lt. Col Denis F.
Mwila
KATAVI
1. Mlele - Rachiel
Stephano Kasanda
2. Mpanda - Lilian Charles
Matinga
3. Tanganyika - Saleh Mbwana
Mhando
KIGOMA
1. Kigoma - Samsoni
Renard Anga
2. Kasulu - Col.
Martin Elia Mkisi
3. Kakonko - Col. Hosea
Malonda Ndagala
4. Uvinza -
Mwanamvua Hoza Mlindoko
5. Buhigwe - Col. Elisha
Marco Gagisti
6. Kibondo - Luis Peter Bura
KILIMANJARO
1. Siha - Onesmo
Buswelu
2. Moshi - Kippi Warioba
3. Mwanga - Aaron Yeseya
Mmbago
4. Rombo - Fatma Hassan
Toufiq
5. Hai - Gelasius
Byakanwa
6. Same - Rosemary
Senyamule Sitaki
LINDI
1. Nachingwea - Rukia Akhibu
Muwango
2. Ruangwa - Joseph Joseph
Mkirikiti
3. Liwale - Sarah Vicent
Chiwamba
4. Lindi - Shaibu Issa
Ndemanga
5. Kilwa - Christopher
Emil Ngubiagai
MANYARA
1. Babati - Raymond H.
Mushi
2. Mbulu - Chelestion
Simba M. Mofungu
3. Hanang' - Sara Msafiri Ally
4. Kiteto - Tumaini
Benson Magessa
5. Simanjiro - Zephania
Adriano Chaula
MARA
1. Rorya - Simon K.
Chacha
2. Serengeti - Emile Yotham
Ntakamulenga
3. Bunda - Lydia Simeon
Bupilipili
4. Butiama - Anarose
Nyamubi
5. Tarime - Glodious Benard
Luoga
6. Musoma - Dkt. Vicent
Anney Naano
MBEYA
1. Chunya - Rehema Manase
Madusa
2. Kyela - Claudia
Undalusyege Kitta
3. Mbeya - William Ntinika
Paul
4. Rungwe - Chalya Julius
Nyangidu
5. Mbarali - Reuben Ndiza
Mfune
MOROGORO
1. Gairo - Siriel Shaid
Mchembe
2. Kilombero - James Mugendi
Ihunyo
3. Mvomero - Mohamed Mussa
Utali
4. Morogoro - Regina Reginald
Chonjo
5. Ulanga -
Kassema Jacob Joseph
6. Kilosa - Adam Idd
Mgoyi
7. Malinyi - Majula Mateko
Kasika
MTWARA
1. Newala - Aziza Ally
Mangosongo
2. Nanyumbu - Joakim Wangabo
3. Mtwara - Dkt. Khatibu
Malimi Kazungu
4. Masasi - Seleman Mzee
Seleman
5. Tandahimba - Sebastian M.
Walyuba
MWANZA
1. Ilemela - Dkt. Leonald
Moses Massale
2. Kwimba - Mhandisi Mtemi
Msafiri Simeon
3. Sengerema - Emmanuel
Enock Kipole
4. Nyamagana - Mary Tesha
Onesmo
5. Magu - Hadija Rashid
Nyembo
6. Ukerewe - Estomihn
Fransis Chang'ah
7. Misungwi - Juma Sweda
NJOMBE
1. Njombe - Ruth Blasio
Msafiri
2. Ludewa - Andrea
Axwesso Tsere
3. Wanging'ombe - Ally
Mohamed Kassige
4. Makete -
Veronica Kessy
PWANI
1. Bagamoyo - Alhaji Majid
Hemed Mwanga
2. Mkuranga - Filberto H.
Sanga
3. Rufiji - Juma Abdallah
Njwayo
4. Mafia - Shaibu
Ahamed Nunduma
5. Kibaha - Asumpter
Nsunju Mshama
6. Kisarawe - Happyness
Seneda William
7. Kibiti - Gulamu
Hussein Shaban Kifu
RUKWA
1. Sumbawanga - Dkt. Khalfan
Boniface Haule
2. Nkasi - Said Mohamed
Mtanda
3. Kalambo - Julieth
Nkembanyi Binyura
RUVUMA
1. Namtumbo - Luckness Adrian
Amlima
2. Mbinga - Cosmas Nyano
Nshenye
3. Nyasa - Isabera Octava
Chilumba
4. Tunduru - Juma Homela
5. Songea - Polet Kamando
Mgema
SHINYANGA
1. Kishapu - Nyambonga
Daudi Taraba
2. Kahama - Fadhili Nkulu
3. Shinyanga - Josephine
Rabby Matiro
SIMIYU
1. Busega - Tano Seif
Mwera
2. Maswa - Sefu Abdallah
Shekalaghe
3. Bariadi - Festo Sheimu
Kiswaga
4. Meatu - Joseph Elieza
Chilongani
5. Itilima - Benson Salehe
Kilangi
SINGIDA
1. Mkalama - Jackson Jonas
Masako
2. Manyoni - Mwembe
Idephonce Geofrey
3. Singida - Elias Choro
John Tarimo
4. Ikungi - Fikiri Avias Said
5. Iramba - Emmanuel
Jumanne Luhahula
SONGWE
1. Songwe - Samwel
Jeremiah
2. Ileje - Joseph Modest
Mkude
3. Mbozi - Ally Masoud
Maswanya
4. Momba - Juma Said
Irando
TABORA
1. Nzega - Geofrey
William Ngudula
2. Kaliua - Busalama Abel
Yeji
3. Igunga - Mwaipopo
John Gabriel
4. Sikonge - Peres
Boniphace Magiri
5. Tabora - Queen
Mwashinga Mlozi
6. Urambo - Angelina John
Kwingwa
7. Uyui - Gabriel Simon
Mnyele
TANGA
1. Tanga - Thobias
Mwilapwa
2. Muheza - Mhandisi
Mwanaisha Rajab Tumbo
3. Mkinga - Yona Lucas
Maki
4. Pangani - Zainab
Abdallah Issa
5. Handeni - Godwin Crydon
Gondwe
6. Korogwe - Robert Gabriel
7. Kilindi - Sauda Salum
Mtondoo
8. Lushoto - Januari Sigareti
LugangikaWakuu wote wa Wilaya walioteuliwa
wanapaswa kufika Ikulu Dar es salaam siku ya
Jumatano tarehe 29 Juni, 2016 saa tatu kamili
asubuhi kwa ajili ya kiapo cha maadili ya
uongozi na maelekezo mengine kabla ya
kuapishwa na wakuu wa mikoa watakaporejea
katika mikoa yao.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
26 Juni, 2016
Chapisha Maoni