kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya
jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu
na kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina
mamlaka ya kuwahukumu.
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya
ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis
kanisa pia linapaswa kuwaomba makundi mengine
ambayo yametengwa kama vile wanawake,masikini
na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi.
Hata hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo
mkali wamepinga hatua yake ya kuwazungumzia
watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
BBC
Chapisha Maoni