0
Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni
kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la Veta
Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari
matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena
lililobeba mchele pamoja na basi.
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki
dunia na wengine ambao idadi yao bado
haijajulikana wamejeruhiwa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu ajali
hiyo.

Chapisha Maoni

 
Top