0
Baada ya klabu ya
wekundu wa Msimbazi
Simba kufanya usajili
kimya kimya na kwa usiri
mkubwa, July 1 2016
walitangaza kocha wao
mpya Mcameroon Joseph
Omog na leo July 2 2016
wameamua kutangaza list
ya wachezaji wao wote
watakaowatumia katika
msimu wa 2016/2017.
Magolikipa:
Foreign: Vincent De Paul
Angban
Peter Manyika
Denis Deonis
Beki wa kulia:
Hamadi Juma: Coastal
Union
Salum Kimenya: Prisons
Beki wa kushoto:
Mohamed Hussein
Abdi Banda
Mabeki wa kati:
Novaty Lufunga
Foreign: Juuko Murushid
Emmanuel Simwanza:
Mwadui FC
Foreign: Janvier Besala
Bokungu
Viungo:
Jonas Mkude
Awadh Juma Foreign:
Justice Majabvi
Saidi Ndemla
Mwinyi Kazimoto
Mzamiru Yassin: Mtibwa
Sugar
Mohamed Ibrahim: Mtibwa
Sugar
Foreign: Mussa Ndusha
Winga:
Peter Mwalyanzi
Jamal Mnyate – Mwadui
FC
Shiza Kichuya – Mtibwa
Sugar
Hassan Kabunda –
MwaduiFC
Washambuliaji:
Ibrahim Hajibu
Daniel Lyanga
Haji Ugando
Mbaraka Yusuf – Kagera
Sugar
Laudit Mavugo – Vital’O
(Burundi)
Blagnon Goue Frederic:
Africa Sports (Ivory Coast)
Ame Ali – Azam FC





Chanzo: millardayo

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top