Manchester United ,kulingana na klabu hiyo ya Ujerumani.
Afisa mkuu wa Dortmund Hans-Joachim Watzke amesema kuwa wamekubali kumuuza mchezaji
huyo kwa United ili kumzuia nahodha huyo wa
Armenia kuwa ajenti huru mwishoni mwa msimu
ujao.
''Iwapo tungekataa mchezaji huyo angekuwa huru
mwaka 2017'' ,Watzke aliambia mtandao wa
Dortmund.
United tayari imewasajili wachezaji wawili msimu
huu akiwemo beki Eric Baily na mshambuliaji
Zlatan Ibrahimovic.
Mkhitayran alijiunga na Dortmund 2013 kutoka
klabu ya Ukrain Shakhtar Donetsk kwa pauni
milioni 23.
BBC
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.