0
Kamati ya maadili imetupilia mbali malalamiko yaTFF dhidi ya Mkuu wa kitengo cha habari cha Yanga Afrika SC, Kamati hiyo imeikosoa TFF kuwa
hata barua ya kumuita Jerry Murro ina mapungufu
kibao hivyo kamati haikuona sababu ya Jerry
kuitwa na kuhojiwa.
"Nimewasemehe wote waliotaka kunitesa na kunidhalilisha, naomba TFF tuungane pamoja kwa
ajili ya soka la nchi yetu"Alisema Jerry Murro baada ya kupata taarifa kuwa yupo huru kuendele na kazi yake

Chapisha Maoni

 
Top