
Wachezaji waliotangwa kuachwa na
Chelsea ni pamoja na washambuliaji
Radamel Falcao na Alexandre Pato huku
ikimwacha pia Marco Amelia ambaye
alikua ni golikipa wa akiba.
Falcao ameamua kurudi katika klabu yake
ya Monaco na ameshasema anataka
kuhakikisha anaibuka mfungaji bora msimu
ujao wa ligi ku ya Ufaransa.
Akiwa Chelsea kwa mkopo wa msimu
mzima wa mwaka 2015/2016 alifanikiwa
kufunga bao moja tu katika mechi 12
alizocheza wakati Pato yeye alisajiliwa
mwezi Januari na kufanikiwa kufunga goli 1 tu katika mechi mbili alizocheza.
Chapisha Maoni