
michuano ya Euro 2016, akicheza mechi zote tatu
za ngazi ya makundi kabla ya kuondolewa. Ukraine
ilishindwa kufunga hata goli moja katika kundi C
dhidi ya Ujerumani, Ireland ya Kaskazini na Poland.
Zinchenko anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na
City chini ya meneja mpya Pep Guardiola. Wengine
ni Ilkay Gundogan, Aaron Mooy na Nolito.
Chapisha Maoni