0
KRC Genk imeshinda kwa mabao 7-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Termien ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya.
Nahodha wa timu ya Tanzania, Taifa Stars,
Mbwana Samatta anayeichezea timu hiyo,
licha ya kwamba hakufunga hata bao moja
lakini alikuwa kati ya wale waliotoa
mchango mkubwa kwenye ushindi huo.
KIKOSI KILICHOANZA; Köteles, Matarrese,
Walsh, Karelis, Kumordzi, Vanzeir, Delorge,
Pozuelo, Buyens, Samatta en Tshimanga.


WALIOFUNGA MABAO:
07' : 1 - 0 : de Camargo
08' : 2 - 0 : Dewaest
15' : 3 - 0 : Kebano
23' : 4 - 0 : Sabak
36' : 4 - 1 : Baur
46' : 5 - 1 : Van Zeir
49' : 6 - 1 : Karelis
76' : 7 - 1 : Pozuelo

Chapisha Maoni

 
Top