
na kombe la Shirikisho.
Baada ya usajili wa wachezaji 14 ambao
niliwataarifu wiki iliyopita,tayari kuna
wachezaji wengine wameongezeka katika
orodha ya wachezaji watakaoichezea Stand
United katika harakàti za kuiweka timu
katika hali ya ushindani.
Katika kujiimarisha zaidi Tumemsajili
Edward Charles anayeweza kucheza kama
beki namba 3 na kiungo namba 6 kutoka
katika klabu ya Geita Gold SC ya Geita
zamani aliwahi kuichezea Yanga na
amesaini mkataba wa miaka miwili.
Mchezaji wetu Abuu Ubwa amekubali
kuongeza mkataba wake kwa miaka miwili
zaidi. Pia tumeweza kunasa saini za
vijanab vijana chini ya miaka 20 Charles
Stanslaus kutokea Serengeti boys,David
Mwita na Ganga Migele (Shinyanga), Salum
Kijibwa na Paul Barama (wametokea
Gormahia ya Kenya),Kareem Sadick(Police
Mara).
Kambi rasmi ya Stand United inatarajiwa
kuanza siku ya Junamosi jijinìì Dar esa
Salaam
Imetolewa na
ALEXANDER SANGA
MKURUGENZI WA HABARI NA
MAWASILIANO
STAND UNITED COMPANY LIMITED
0715052491
Chapisha Maoni