Nolito kutoka Celta Vigo baada ya kuafiki
kulipa Dau la Pauni Milioni 13.8 kama
Mkataba wake unavyosema.
Nolito, mwenye Miaka 29 na ambae Jina lake
kamili ni Manuel Agudo Duran, amesaini
Mkataba wa Miaka Minne na sasa anakuwa
Mchezaji wa Tatu kusainiwa na Meneja mpya
Pep Guardiola katika kipindi hiki.
Wachezaji ambao Man City tayari imewasaini
ni Ilkay Gundogan kutoka Borussia Dortmund
na Kiungo wa Australia Aaron Mooy.
Nolito alikuwa huko France akiichezea Timu
ya Taifa ya Spain kwenye EURO 2016 na
alianza Mechi zao zote 4 hadi walipotupwa
nje na Italy baada ya kufungwa 2-0 na Italy
kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16.
Akiongea baada ya kumalisha Uhamisho huu,
Nolito alisema: “Nadhani Pep Guardiola ni
mmoja wa Mameneja Bora Duniani.
Anafahamu mengi kuhusu Gemu hii na
atanisaidia kuendelea kama Mchezaji.”
NOLITO- Wasifu:
Jina Kamili: Manuel Agudo Durán
Kuzaliwa: 15 Oktoba 1986 (Miaka 29)
Mji wa Kuzaliwa: Sanlúcar de Barrameda,
Spain
Timu za Vijana
1990–2000 Algaida
2000–2003 Sanluqueño
2003–2004 Valencia
Klabu
2003 Sanluqueño
2004–2006 Sanluqueño Mechi 32 Magoli
25
2006–2008 Écija Mechi 71 Magoli 15
2008–2011 Barcelona B Mechi 106 Magoli
29
2010–2011 Barcelona Mechi 2 Magoli 0
2011–2013 Benfica Mechi 35 Magoli 12
2013 Granada (Mkopo) Mechi 17
Magoli 3
2013–2016 Celta Mechi 100 Magoli 39
2016– Manchester City
Timu ya Taifa
2014– Spain Mechi 13 Magoli 5

Chapisha Maoni