Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Nonga alisajiliwa na Yanga kupitia dirisha dogo la
ligi kuu msimu uliopita akitokea Mwadui FC lakini
aliomba kuachwa kutokana na kukosa namba.
Pia Stand United imepanga kuinasa saini ya
mshambuliaji wa Coastal Union Chidiebre Abasirim
ambaye timu yake imeshashuka daraja.
Wachezaji wote wawili wapo mkoani Shinyanga na
wanasubiri kusaini mkataba baada ya makubaliano
baina ya pande zote mbili kwenda vizuri.
Chapisha Maoni