0
Taarifa iliyotukikia chumba chetu cha
habari muda huu, inaeleza kuwa ajali
mbali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria,
imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani
Singida na kupelekea vifo vya abiria 24
papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Akizungumza kwa njia ya kuelezea ajali
hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida,
ACP Thobias Sedoyeka amethibitisha
kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea majira ya
saa nane mchana wa leo, ambayo
inayahusisha mabasi ya Kampuni moja ya
CITY BOYS ambalo moja lilikuwa likitoka
Dar kwenda Kahama huku lingine likitoka
Kahama kuelekea Dar. Taarifa kamili
itawajia baadae kidogo.



chz
Michuzi blog

Chapisha Maoni

 
Top