0
MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena
Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda
wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta
hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao
Igunga,Tabora kutafuta mume.
Akistorisha na Showbiz Xtra, Shilole alisema
kuwa, hataki tena kujichosha akili kwa
wanaume wa mjini kwa vile ni wavivu bora
aende Igunga kumpata mwanaume
atakayeweza kufanya kazi kutokana na vyakula
asili anavyokula.
“Wanaume wa mjini wamezoea chipsi mayai,
hawawezi chochote bora wa kijijini wanakula
dona na wana akili za kufikiria,” alisema
Shilole.
Shilole alikuwa akitoka kimapenzi na msanii
wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda.

Chanzo.udaku special

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top