baada ya kutoke mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye
ujumbe wa kumkashifu Mtukufu Mkuu sana,
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe
Joseph Magufuli.
Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka...
Dikteta uchwara utashindwa
Dikteta uchwara nenda Burundi
Maoni Yangu;
Kuna msemo usemao Delegatus Non Potest
Delegare wakimaanisha la kujitakia halina
majuto. Hawa wafuasi naona wamejitakia au
wametumwa na viongozi wao uchwara kubeba
mabango ya kashfa kwa Rais. Mbowe
alikuwepo mahakamani, kwanini yeye
hakubeba bango la kashfa? Kwanini awatumie
wafuasi wachache wasiojielewa?
Hivi nalo hili mtalalamika kuonewa?
Kwanini hamuheshimu Taasisi ya Urais?
Kwanini hamuheshimu Rais?
Mnataka nini hasa wana wa upinzani?

Chapisha Maoni