0
Timu ya Taifa ya Ufaransa imepata nafasi ya kucheza katika fainali ya michuano ya Euro 2016
Ufaransa waliibuka na ushindi wa bao 2-0 wakiwafunga mabingwa wa dunia
Ujerumani.
Shujaa wa Ufaransa alikua ni mchezaji
anayeichezea Atletico Madrid ya Spain
Antonio Griezman aliyefunga bao zote mbili
peke yake bao la kwanza kwa njia ya
penati dakika ya 45 baada ya Bastian
Schweinsteiger kuunawa mpira ndani ya
eneo la hatari.
Bao la piliuongeza la pili dakika ya 72 na
kufanya mchezo huo kumalizika kwa
ushindi huo kwa Ufaransa.
Kwa matokeo hayo Ufaransa itakabiliana
na Ureno ambao walitinga hatua hiyo
baada ya kuwafunga Wales


Germany: Neuer 7; Can (Gotze, 67 6),
Boateng 6 (Mustafi, 61 6), Howedes 7,
Hector 6; Kroos 6, Schweinsteiger 7 (Sane, 79 6); Kimmich 6, Ozil 6, Draxler 5.5; Muller 5.5.

Subs not used: Leno, Ter Stegen, Tah,
Schurrle, Weigl, Podolski.
Booked: Can, Ozil, Schweinsteiger, Draxler Manager: Joachim Low 5.5

France: Lloris 7.5, Sagna 6, Koscielny 7,
Umtiti 7, Evra 6.5; Matuidi 6.5, Pogba 7,
Sissoko 6, Griezmann 8 (Cabaye, 90), Payet 6 (Kante, 71 6), Giroud 6 (Gignac, 77 6).
Subs not used: Mandanda, Costil, Jallet,
Rami, Mangala, Digne, Schneiderlin, Coman, Martial.

Booked: Evra, Payet
Goals: Griezmann pen 45, 72
Manager: Didier Deschamps 7
Referee: Nicola Rizzoli (Italy) 5.5

Chapisha Maoni

 
Top