kuweza kuchukua ubingwa wa kombe la
mataifa ya Ulaya Euro 2016 zimegonga
mamba baada ya kutupwa nje na
Mabingwa wa dunia Ujerumani.
Mechi hiyo ya tatu ya robo fainali
ilishuhudia Ujerumani ikisonga mbele kwa
changamoto ya mikwaju ya penati 6-5
baada ya mechi hiyo kumalizika kwa sare
ya bao 1-1 ndani ya dakika 90 mpaka
dakika 120 zilizoongezwa
Mesuit Ozil alitangulia kuipatia Ujerumani
bao kabla ya Leonardo Bonucci
hajaisawazishia Italia kwa penati baada ya
Jerome Boateng kuunawa mpira katika
eneo la 18 na kufanya mchezo huo
kumalizika kwa sare ya bao 1-1
Katika Changamoto ya Penati matokeo
yalikua hivi
Ujerumani
Waliifunga
Toni Kroos, Julian Draxler,Matts
Hummels,Joshua Kimmich,Jerome
Boateng na Jonas Hector
Waliokosa
Mesuit Ozil,Bastian Schweinsteiger na
Thomas Muller
Italia
Waliopata
Lorenzo Insigne, Andrea Barzagli,Emanuele
Giaccherin,Marco Parolo na Mattia de
Sciglio
Waliokosa
Simone Zaza, Graziano Pelle,Leonardo
Bonucci na Mateo Darmian
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.